Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na Kiongozi mwandamizi wa chama hiko cha upinzani ambaye hivi karibuni alishindwa uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kanda, Mchungaji Peter Msigwa ametangaza kuhamia CCM kwa kile alichokidai kuwa CHADEMA imepoteza uhalali na kwamba chama hiko kimegeuka kuwa SACCOS.
Msigwa ameyasema hayo mara baada ya kupokelewa CCM wakati wa mkutano mkuu wa NEC-CCM uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hiko Samia Suluhu Hassan.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: [ Ссылка ]
INSTAGRAM: [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]
TIKTOK: [ Ссылка ]_...
Au tembelea tovuti yetu: [ Ссылка ]
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Ещё видео!