Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
[ Ссылка ] --~--
Ni watu wachache sana ndiyo wanaopenda na wanafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Watu wengi hasa waafrika hawapendi kusoma vitabu ikiwa hakuna kinachowalazimisha kufanya hivyo kama vile mtihani, kazi, n.k.
Kwa hakika kuna maarifa mengi yaliyofichwa kwenye vitabu; hii ndiyo sababu watu wengi waliofanikiwa husoma au hata kuandika vitabu.
Ikiwa unataka kupata maarifa na kuboresha maisha yako kwa njia ya kusoma vitabu, basi fahamu faida hizi 10 za kusoma vitabu.
Kumbukuka Fikiri kabla hujazungumza. Lakini soma kabla hujafikiri.
MAMBO SABA (7) YA KUACHA ILI UFANIKIWE [ Ссылка ]
HAMASA YA LEO : [ Ссылка ]
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: [ Ссылка ]
TWITTER: [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]
LINKEDIN: [ Ссылка ]
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
Ещё видео!