#IrisEmpire#SavioFamily#Bombambili
"Vikwazo na Majaribu havina budi kutokea, lakini Jipeni Moyo Mtashinda, Hayo Yote Ni Mapito na Siku Moja yatapita ilindeni imani yenu msiogope"
Karibu Kutazama wimbo huu ukiwa ni Utunzi wake Mwl.Ben Nturama, ulioimbwa na Kwaya ya Mt.Dominic Savio (KMDS) kutoka Parokia ya Bikira Maria Mama Wa Rozari - Bombambili na unapatikana Katika albamu Yao iitwayo "MATENDO MAKUU YA MUNGU"
KWAYA: MT.DOMINIC SAVIO (KMDS)
PAROKIA: BIKIRA MARIA MAMA WA ROZARI - BOMBAMBILI
WIMBO: JIPENI MOYO MSIOGOPE
MTUNZI: BEN NTURAMA
KINANDA: KAIZA ALEX
AUDIO: BANALLY PRO
VIDEO: IRIS EMPIRE
Like, Share & Subscribe
Kwa Mawasiliano: mtdominicsavio@gmail.com
+255763301271
+255675851993
Follow Us;
Facebook: [ Ссылка ]
Instagram: [ Ссылка ]==
Ещё видео!