KIAPO (VOW)
Label: Msechu Entertainment limited (MLH)
Song writer : Godfrey Steven
Singer: Peter Msechu
Composer: The best version records
Musician: Michel Mzee (Maestro)
Vocals studio: Enzi records
Mixing and Mastering: Fredrick Masanja
Backvocals: Christina Mwendwa, Fredy Lionel
MASHAIRI
VERSE 1
Ndani amani, hamna tafrani
Tangu nikutane nawe
Kipenzi cha moyo wangu, ndani mtimani
Daima mwangani giza sioni
Mbawa zako zavutia
Harufu yako inanukia ndani
Jua liwake mvua inyeshe mimi nawe tukingane
Geuka kivuli wakati wa jua kalii
We mtulizo wangu
Nafsi yangu ibabaikapo, hata kwa majirani wakituona wajifunze
CHORUS
Kuachana nawe sahau
Kuachana nami sahau
Mimi na wewe tuchanue penzini
Kuachana nawe sahau
Kuachana nami sahau
Kumbuka kiapo kifo kitutenganishe
Kuachana nawe sahau
Kuachana nami sahau
Mimi nawewe tuchanue penzini
Kuachana nawe sahau kuachana nami sahau
Rejea kiapo kifo kitutenganishe
BRIDGE
Lalalaallaaaaaalaaa
Kiapo kifo kitutenganishe
Ahhhhahhhhh
Kuachana nawe sahau
Kuachana nami sahau
Rejea kiapo kifo kitutenganishee
![](https://s2.save4k.ru/pic/h43zvv7e5x8/maxresdefault.jpg)